Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akizungumza na
waandishi wa habari juu ya Watanzania wanaoipenda Tanzania wakisha maliza
kutimiza wajibu wake wawapishe waendelee kutimiza haki zao za msingi
za kupiga kura, ameyasema katika Hoteli ya Serena leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu Hamad M. Hamid akizungumza na ziongozi
mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la
amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam kushoto ni Mwenyekiti wa Mdahalo Dk Ayub Rioba.
Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu Hamad M. Hamid akizungumza na viongozi
mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la
amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam kushoto ni Mwenyekiti wa Mdahalo Dk Ayub Rioba.
Katibu Mkuu wa (TLP),
Nancy Mrikaria akisisitiza jambo katika mdahalo huo.
Baadhi ya viongozi Mbalimbali wakiwa katika mdahalo huo
leo Jijini Dar es Salaam .
(Picha na Emmanuel Massaka)