Ofisa
Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa
awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni
uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo upo
chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi 'Acha Lugha Chafu na
Udhalilishaji Sokoni' Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG).
Mwenyekiti wa Mtaa wa Matumbi uliopo katika wilaya ya Temeke, Khatibu Lindi, akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio, Hamad Juma Mtemi, akizungumza katika mkutano huo.
Ofisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Temeke, Agnes Soso, akizungumza katika uzinduzi huo.
Ofisa
Ufuatiliaji na Tathimini wa Shirika la Equality for Growth (EfG),
Samora Julius (kulia), akitoa mada mbalimbali kuhusu ukatili wa jinsia
masokoni wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Mradi wa EfG, Susan Sitta, akielezea historia fupi ya
shirika hilo.
Wananchi wakiwa kwenye Uzinduzi huo.
Mkazi wa Chamanzi, Husna Abdallah akielezea udhalilishaji wa jinsia katika masoko.