Wananchi
wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani, katika
eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia mkikutano ya
kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara jana, Septemba 16,
2015.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi
Mgombea Ubunge jimbo la Liwale mjini, George Mkuchika, katika mkutanowa
kampeni uliofanyika jana, Septemba 16, 2015, katika jimbo hilo mkoani
Mtwara.
Mgombea
Ubunge jimbo la Newala Vijijini, Rashid Akbar akiomba kura baada ya
kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika
mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo, jana Septemba 16,
2015
(Picha zote na Bashir Nkoromo).
(Picha zote na Bashir Nkoromo).
Wagombea
Udiwani katika jimbo la Newala Vijijini wakionyesha mikono
walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo
leo. Kushoto ni Mjumbe wa kampeni za mgombea mwenza wa Urais Mama Samia,
Angela Kizigha.
Kina
Mama wakimpatia zawadi Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara.
Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akizungumza na
wananchi waliozuia msafara wake katika eneo la Chaume, akiwa njiani
kwenda jimbo la Liwale Vijijini kuhutubia mkutano wa kampeni jana,
septemba 16, 2015