Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watakwenda mahakamani kupinga
matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe.Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba amesema kuwa CCM haijaridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo.
Taarifa yote soma hapa chini…