Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya
Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la
NAFGEM,Honorata Nasuwa akizungumza na wanahabari(hawako pichani ) juu ya
uzinduzi huo,kushoto kwake ni Afisa Ushawishi na utetezi (KWIECO) na
mratibu wa maadhimisho hayo kanda,Hilary Tesha.
|
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini.
|