Meneja
Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya
promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa
mbalimbali walipatikana. Akishuhudia ni balozi wa Airtel Mkwanjika na
mtangazaji wa kipindi cha planet Bongo cha EATV Abdallah Hamisi Ambua
(kushoto) akifuatiwa na msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha
nchini , Mrisho Milao (wa pili kulia) na Afisa Masoko wa Airtel Bi
Rebecca Mauma (kulia).