MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 14, 2015

FILAMU YA KIZITO ILIYOKUWA IKISUBIRIWA KWA HAMU NA MASHABIKI SASA IMETINGA SOKONI LEO

Filamu ijulikanayo kama kizito leo imeingia sokoni baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wa fimau hapa nchi Tanzania na nje ya Tanzania, filamu hii iliyosheheni ujumbe mzito kutoka kwa muigizaji maarufu nchnini maarufu kama PHILEMON LUTWAZA amekuja na fimau ya kizito baada ya kuachia fimau zake kadhaa huko nyuma filamuzilizoenda kwa jina la ANKO KIEPE, AFTER DEATH, na zingine alizowahi kucheza,
Msanii huyo maarufu philemon lutwaza ameongea na mtanado huu kupitia simu ya mkononi na kusema kwamba ameachia filamu hiyo ya KIZITO  kwakuwa imebeba ujumbe unaohusu watu kahaa wenye tabia kama alizocheza yeye ndani ya filamu yake na katika filamu hiyo amewashirikisha wasanii maarufu kama RIAYAMA ALLY, BEN na wasii wengine kibao wanaochipikia katika tasnia ya fimau hapa nchini, "nimeachia filamu hii kwa ajili ya mashabiki wangu maana wameisubiri kwa muda mrefu tangu ianze kutangazwa kupitia mitandao na intervies kazaa katika vituo vya televisheni hivyo zawadi ya watanzania wazalendo ipo wafike katik maduka yote ya kuuza dvd za filamu wapate nakala original na sio feki kwaniitasaidia kukuza uchumi na ajira za wasanii wa taifa letu na wengine kwa ujumla, {Lutwaza phelemon}"

FILAMU YA KIZITO SASA IPO MADUKANI