Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Mipango Miji kutoka Wizara ya Ardhi,|Nyumba na
Maendeleo ya Makazi George Pangawe akizungumza na Waandishi wa Habari
(Hawapo Pichani) kuhusu wananchi kuzingatia sheria na kanuni za mipango
miji nchini
pale wanapotaka kuendeleza ardhi kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Elimu
ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Mazingira Carlos Mbuta na kulia
ni Mkuu wa Idara ya Mipango Miji, Ardhi na Mazingira Manispaa ya
Kinondoni Bi. Juliana Letara
Mkuu
wa Kitengo cha Elimu ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Mazingira
Carlos Mbuta akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu
elimu ya uzalishaji na matumizi endelevu ya rasilimali ili waweze
kunufaika na rasilimali hizi ambapo elimu hiyo imeingizwa katika mitaala
ya elimu hapa nchini kulia ni Msaidizi Idara ya Mipango Miji kutoka
Wizara ya Ardhi,|Nyumba na Maendeleo ya Makazi George Pangawe.
Mkuu
wa Idara ya Mipango Miji, Ardhi na Mazingira Manispaa ya Kinondoni Bi.
Juliana Letara akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari leo Jijini Dar
es Salaam kulia ni Msaidizi Idara ya Mipango Miji kutoka Wizara ya Ardhi,|Nyumba na Maendeleo ya Makazi George Pangawe na kushoto ni
Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Mazingira Carlos Mbuta.Picha na Frank Mvungi-MAELEZO)