Wahariri
wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es
Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote
pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa
jamii, wakiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika
makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.
Wahariri
wa gazeti la Mawio wakizungumza leo walipokuwa wanajisalimisha makao
makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda akizungumza na waandishi wa
habari katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.
Kuhusiana na kufungiwa na Serikali gazeti la Mawio jana.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.