Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi
wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt
Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi ,
Miundombinu, Uchukuzi, na Utalii wa Japan, Bw. Takatoshi Nishiwaki baada
ya kufungua mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi wa Miundombinu
kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro
jijini Dar es salaam Januari 14,2016. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujwnzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).