Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin
akimkabidhi, mwalimu mkuu, Bi Taifa Ahmed mfano wa hundi ya shilingi milioni 20
kwa ajili ya kununua vifaa vya wanafunzi wenye ulemavu wa uoni wa shule ya
msingi Kisiwandui.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin
akisaini barua ya kampuni ya Zantel kwa ajili ya kuanza kulisaidia darasa la walemavu wa uoni wa shule ya msingi
Kisiwandui ambapo pia walikabidhi msaada wa jumla ya shilingi milioni 20.
Waanaotazama kutoka ulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kisiwandui, Bi Taifa
Ahmed, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Elimu, Bi Safia Ali, na mwisho kushoto ni
Shinuna Kassim, Mkurugenzi wa Mipango ya Biashara wa Zantel.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin
akimkabidhi, Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Bi Taifa Ahmed barua inayoonyesha nia
ya kampuni ya Zantel kusaidia shule ya Kisiwandui. Anayetazama katikati ni Mkurugenzi
wa Elimu, Bi Safia Ali. Zantel pia walikabidhi shilingi milioni 20 kwa ajili ya
kununua vifaa vya walemavu wa uoni.
Mkurugenzi
Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akisaini barua ya kampuni ya Zantel kwa
ajili ya kuanza kulisaidia darasa la walemavu wa uoni wa shule ya
msingi Kisiwandui ambapo pia walikabidhi msaada wa jumla ya shilingi
milioni 20. Waanaotazama kutoka ulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya
Kisiwandui, Bi Taifa Ahmed, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Elimu, Bi Safia
Ali, na mwisho kushoto ni Shinuna Kassim, Mkurugenzi wa Mipango ya
Biashara wa Zantel.
Mkurugenzi
wa Elimu, Bi Safia Ali akizungumza wakati wa hafla ya kupokea msaada wa
jumla ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampuni ya Zantel kwa ajili ya
kununulia vifaa vya wanafunzi wa ulemavu wa macho.
Mkurugenzi
wa Zantel, Benoit Janin akizungumza wakati wa hafla ya kupokea msaada
wa jumla ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampuni ya Zantel kwa ajili
ya kununulia vifaa vya wanafunzi wa ulemavu wa macho.
Mwanafunzi, Mbarouk Nassor akitoa
shukrani kwa kampuni ya Zantel baada ya kupokea msaada wa shilingi milioni 20 kwa
ajili ya kununua vifaa vya kuwasaidia kusoma.