Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (kulia)
akimwonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin
Ntalikwa (kushoto) sehemu ya kiwanda hicho.
Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (kulia)
akimwonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin
Ntalikwa (kushoto) roboti maalum ya kuchukua sampuli mbalimbali za
kemikali/udongo kwenye maabara ya kiwanda hicho (haipo pichani)
Mtalaam kutoka Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Reuben Malambugi (kushoto) akielezea shughuli za kiwanda hicho.
Kutoka
kulia; Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin
Ntalikwa, Kamishna Msaidizi wa Madini – Kanda ya Kusini Mhandisi
Benjamin Mchwampaka na Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli
Nchini (TPDC), Dk. Shufaa Al- beity wakifuatilia maelezo yaliyokuwa
yanatolewa na Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet
Duggal (hayupo pichani).
Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal akielezea
shughuli za kiwanda hicho mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini Profesa Justin Ntalikwa pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya
Nishati na Madini, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na Shirika la
Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) ( hawapo pichani)