Mkuu wa wilaya ya Tanganyika akiwa na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi mazingira wakati wakiwa ziarani wilayani hapo siku chache zilizopita.
waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi mazingira mhe january makamba akisalimiana na viongozi wa wilaya
Ujumbe kutoka kwa mkuu wa wilaya kuwa akisema
tathimin ya haraka huu mzigo tulioukamata una thamani zaidi ya sh. Mil 123 unaweza kujiuliza kwa miaka miwili au mitatu nyuma ni kiasi gani cha fedha kimenufaisha mafisadi wachache na kuwaacha wataniania wenzao wakiendelea kukosa huduma za kijamii hapa hakuna namna naomba tuombeane katika shuguli hii nzito