Baadhi
ya maafisa waandamizi wa Vodacom Tanzania,wakiwa wamebeba keki tayari
kwa kuwagawia wateja na wafanyakazi wa kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya
kufurahia kwa pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Afisa
Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet
Lwakatare akiongea na baadhi ya wateja waliofika kupata huduma
mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar
es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
duniani.
Baadhi
ya wateja wa Vodacom Tanzania waliofika kupata huduma mbalimbali katika
duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo
wakichukua keki kutoka kwa Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa
Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare(kushoto) ikiwa ni sehemu ya kufurahia
kwa pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Mmoja
wa wateja wa Vodacom Tanzania aliyefika kupata huduma mbalimbali katika
duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo
akifurahi jambo wakati alipokuwa akipewa keki na Afisa Mkuu wa Idara ya
huduma kwa wateja wa kampuni hiyo,Harriet Lwakatare(kulia) ikiwa ni
sehemu ya kufurahia kwa pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
duniani