Mheshimiwa
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Crown Prince wa
Abudhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya UAE Sheikh Mohammed bin
Zayed Al Nahyan katika makazi yake jijini Abudhabi
Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya katika
mazungumzo na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed
Al Nahyan.Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi H.H.Reem Al Hashimy