MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Jan 14, 2017

Bonde la ufa laongoza kwa idadi kubwa ya wapigakura



Takriban watu milioni kumi na sita wamesajiliwa kupiga kura kufikia sasa huku tume ya uchaguzi nchini ikipania kuwasajili watu milioni 6.1 walio na vitambulisho kuanzia Jumatatu. Eneo la bonde la ufa kufikia sasa linaongoza kwa idadi ya wapiga kura waliosajiliwa ambao ni zaidi ya milioni tatu na laki saba. Vyama vya kisiasa vinang’ang’ana kuhakikisha kupata idadi kubwa ya wanaolengwa na IEBC ili kuweza kushinda katika kinyang’anyiro cha wa Agosti.