Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuwaapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mabalozi pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma leo jijini Dar es Salaam
Mkuu
wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akila
kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt.
John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Mkuu
wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akiweka
saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya kuapishwa kuwa
Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (CDF) leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saini katika hati ya kiapo cha utii wakati wa hafla ya kumwapisha Mkuu
wa Majeshi la Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo
leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akipokea
salamu ya utii kutoka kwa kikosi maalumu cha Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ) mara baada ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Majeshi leo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Mnadhimu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Meja Jenerali James M. Mwakibolwa
akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia
Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Mnadhimu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Major Jenerali James M. Mwakibolwa
akiweka saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya
kuapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (CDF) leo Ikulu jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saini katika hati ya kiapo cha utii wakati wa hafla ya kumwapisha
Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Meja Jenerali James M.
Mwakibolwa leo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi vutendea kazi Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
Major Jenerali James M. Mwakibolwayo wakati wa hafla ya kuwapisha
wateule hao leo jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Dr. Juma Malewa akila kiapo cha utii mbele ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
vitendea kazi Kamishna Jenerali wa Magereza Dr. Juma Malewa wakati wa
hafla ya kuwapisha wateule hao leo jijini Dar es Salaam.
Balozi
Paul Mella ambaye ataiwakilisha nchi ya Tanzania nchini katika Jamhuri
ya Demokrasia ya Congo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es
Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Balozi
Samweli William Shelukindo ambaye anakwenda kuiwakilisha Tanzania
nchini Ufaransa akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es
Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Katibu
wa Tume ya Utumishi wa Umma Nyakimura Mathias Mhoji akila kiapo cha
utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe
Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi.
Mkurugenzi
wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Boaz Mikomangwa
akila kiapo cha utii mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Inspekta
Jenerali Ernest Mangu katika hafla ya kuwaapisha baadhi ya viongozi
walioteuliwa na Mhe. Rais kushika nyazifa mbalimbali leo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali
Venance S. Mabeyo ( kulia) mara baada ya hafla ya kumuapisha leo jijini
Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mnadhimu wa Jeshi hilo Meja Jenerali
James Mwakibolwa, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Mohamed
Shein na Waziri Mkuu wa Kassim Majali.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance S. Mabeyo
akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Davis Mwamunyage
wakati wa hafla ya kuapishwa kwake leo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Makamishna wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama ya Tanzania wakati wa hafla ya kuwaapisha Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania, Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Kamishna Jenerali
wa Jeshi la Magereza, Mabalozi pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa
Umma leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.