Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa
la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya
kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe tena bali meneja
binafsi kwa kuwa wanaachia nyimbo zao solo na kuzi promote moja moja
mkubwa na wanawe haitaweza...Hayo yamesemwa na Beka amabaye alikuwa ni
mmoja wa wanaounda kundi hilo