Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye
anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya
serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani
kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama
hicho