Taarifa zinaonyesha kwamba Mzee wa Upako aliswekwa ndani kituo cha polisi Urafiki kwa kosa la kutapeli Tshs 2,000,000/= katika harakati za kufanya biashara ya madini.
Taarifa za Polisi zinaonyesha kuwa Mama Rwakatare (CCM) ambaye walikuwa katika biashara na Mzee wa Upako ndiye aliyekwenda hapo na kumuwekea dhamana na alilazimika kulipa kiasi hicho hapo polisi ndipo Mzee wa Upako akaachiwa.
Utapeli huo una ambatana na ule wa yeye Mzee wa Upako kuingiza matail 250 kwa udanganyifu na alikamatwa na TRA!!
Kufuatia kesi hizi Mama Rwakatare ndiye aliyemshauri Mzee wa Upako kujiunga na CCM ili apate ahueni na huo ndio mwanzo wa upendo na wakuu wa CCM!!!
chanzo jamii forum