Beki
wa Malaga, Weligton akimkwida mashavuni nyota wa Barcelona, Lionel
Messi kabla ya kumsukuma chini, hadi akapewa kadi ya njano na refa
Alejandro Hernandez, timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana katika
mchezo wa La Liga usiku wa kuamkia leo.
Lionel Messi akianguka baada ya kumsukuma chini na beki wa Malaga, Weligton.