Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri
Afisa wa PSPF akimsajili uanachama mmoja wa wanamichezo walikuwepo katika Mashindano hayo ya SHIMIWI
Aliyevaa
Tshirt ya Blue ni Afisa Masoko wa PSS Bwana Delphin Richard akitoa
maelezo kwa wanachama wa PSPF wakati Michezo hiyo ikiendelea
Michezo ikiwa inaendelea
Baadhi ya wachezaji wakiwa katika mapumziko.