WASANII
wanaotarajiwa kufanya makamuzi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,
usiku wa leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, mapema leo
walipata shavu la kufanyiwa mahojiano mafupi ndani ya Generation FM ya
mjini hapo na kila mmoja akaweza kuweka wazi namna alivyojipanga
kuwapagawisha wakazi wa Mbeya mara tu watakapoanza makamuzi yao usiku wa
leo.Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanyiwa mahojiano mafupi ndani ya Generation FM, mapema leo
.Msanii
kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Elias Barnaba 'Barnaba
Boy', akiweka wazi namna alivyojipanga kufanya makamuzi usiku wa leo
ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.Madee akifanyiwa mahojiano mafupi ndani ya studio za Generation FM mapema leo.Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music akiwa ndani ya Generation FM, Mbeya.Mr Blue akiongea namna alivyojipanga kufanya makamuzi ya kufa mtu leo katika Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.Msanii wa Hip hop, Godzillah akifanyiwa mahojiano mafupi ndani ya Generation FM mjini Mbeya.
(PICHA:MUSA MATEJA/GPL, MBEYA)