MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Oct 8, 2014

HALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mdee (wa nne kulia) na watuhumiwa wenzake wakielekea mahakamani.

Watuhumiwa wakishuka chumba cha mahakama.
Hapa ni safari ya kurudishwa rumande ilipoanza.
Mdee na wenzake wakitoka mahakamani.
Gari la polisi likiwa tayari kuwepeleka rumande.
Ulinzi ulivyokuwa mahakamani.
Gari la wafuasi wa Chadema likiwa nje ya mahakama.
Gari la polisi likiondoka mahakamani.
MBUNGE wa Jimbo la Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Halima Mdee (Bawacha) na wanachama wengine wenzake walipelekwa rumande kufuatia kutokamilika kwa uhakiki wa hati za dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar e Salaam.
Watu hao walifunguliwla mashitaka mahakamani hapo  kwa madai ya kutotii amri ya polisi  na kufanya maandamano bila kibali.  Uhakiki wa dhamana wa watuhumiwa hao utafanywa leo.
(HABARI/PICHA NA: DENIS MTIMA NA DEOGRATIAS MONGELA/GPL