Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'
(wa pili kutoka kushoto), akiwa na madansa wake pamoja na Nay wa Mitego
wakitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club
jijini Dar.
Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo wapo
kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.
Wakati huohuo polisi wakiendelea kumtafuta bosi wao Nasibu Abudul '
Diamond Platinumz kwa maelezo zaidi kutokana na kuvaa sare za Jeshi la
Wananchi (JWTZ) katika tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club, Dar
usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita, hawajampata.Mwandishi wetu alimtafuta Meneja wa Diamond aitwaye Babu Tale kwenye simu bila mafanikio
CHANZO GLOBAL PUBLISHER