Hatimaye akaunti ya Facebook ya rapper Ambwene Yessayah aka AY imekuwa verified. Tayari kitick cha blue cha kuonesha kuwa ni akaunti halali kinaonekana kwenye akaunti ya muimbaji huyo wa Zigo.
AY anaungana na Diamond Platnumz na Alikiba ambao nao akaunti zako
zimepewa kitick cha blue. Mastaa wengine wa Tanzania wenye akaunti z
aina hiyo ni Flaviana Matata, Salim Kikeke na January Makamba.