Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa
Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini
Tabora.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega
mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa
kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora.
Wakazi wa Nzega mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea urais kwa tiketi ya
CCM Dk.John Magufuli alipokuwa akiwahutubia mchana wa leo katika uwanja
wa Barafu.
Wakazi
wa Nzega mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea urais kwa tiketi ya CCM
Dk.John Magufuli alipokuwa akiwahutubia mchana wa leo katika uwanja wa
Barafu.
Mgombea
urais wa CCM Dk.John Magufuli akisalimiana na mbunge anayemaliza muda
wake katika jimbo la Nzega Mjini Dk.Hamis Kigwangala baada ya kuwasili
kwenye jimbo hilo mchana wa leo.Kwa sasa anayegombea jimbo hilo ni
Hussein Bashe na Dk.Kiwangala anagombea jimbo la Nzega Vijijini
Mgombe,a
urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akipunga mkono juu ikiwa ni
ishara ya kuwasilimia wananchi wa Nzega mkoani Tabora waliofika
kumsikiliza na kumuona ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kuoamba
kura za urais kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akiteta jambo na mgombea ubung jimbo la Nzega Mjini mkoani Tabora leo mchana
Mgombea
urais wa CCM Dk.John Magufuli aliyevaa kofia akizungumza jambo na
Mgombea Ubunge wa jimbo la Nzega Mjini,Ndugu Hussein Bashe(katikati) na
Mgombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini Dk.Hamis Kigwangala mchana wa leo
walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa
Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora
Mgombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini Dk.Hamis Kigwangala akiwasalimia wananchi wa Nzega mchana wa
leo walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa
Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora
Mgombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini Dk.Hamis Kigwangala akiwahutubia wananchi wa Nzega mchana wa
leo walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa
Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora
Mgombea Ubunge wa jimbo la Nzega Mjini,Ndugu Hussein Bashe akiwahutubia
wananchi walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika
Uwanja wa
Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora.
MMoja
wa Makaba wa CCM ambaye yupo kwenye orodha ya timu ya kampeni ya
kumnadi Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Magufuli,Stephen Masele
akiwahutubia wananchi mapema leo mchana kwenye mkutano wa kampeni.