Kuonyesha
kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania
katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe Magufuli aliwashangaza
wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya tano jukwaani,mbele ya
wakazi wa mji huo ambao walishangilia na kupiga mayowe kila kona ya
Uwanja.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika
viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini asubuhi hii kwenye mkutano wa hadhara
wa kampeni.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi
katika viwanja vya Mashujaa mjini Misenyi asubuhi hi kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni
wakazi
wa mji wa Misenyi katika viwanja vya mashujaa wakishangilia mara huku
wakiendelea kumsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.
PICHA NA JR-KARAGWE