WAZIRI
wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini,
Lazaro Nyalandu, akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa
Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa bodaboda.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini,
Lazaro Nyalandu, akisoma bango lenye ujumbe wa kumpongeza
lililoandaliwa na wananchi wa Kata ya Mntiko, wakati wa uzinduzi wa
kampeni zake za ubunge.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini,
Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakicheza kwa furaha wakati wakiwasili
kuzindua kampeni zake za ubunge katika Kata ya Mtinko.
MKE wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Faraja, akicheza
na wanachama na wapenzi wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni katika
Jimbo la Singida Kaskazini, juzi.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini,
Lazaro Nyalandu, akihutubia umati wa wanachama na wakazi wa Kata ya
Mtinko wakati uzinduzi wa kampeni zake, juzi.
MGOMBEA
ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, mkewe Faraja na
Mbunge mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe,
wakicheza muziki wa hamasa wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni
uliofanyika Kata ya Mtinko, juzi
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini,
Lazaro Nyalandu, akisalimia na mamia ya wanachama na wakazi wa Mtinko
wakati alipozindua kampeni zake juzi, ambapo maelefu ya watu
walijitokeza kumsikiliza