Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. |

Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Bi. Ummy Mwalimu akizungumza na
wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni za CCM timu ya mgombea mweza
iliyofanyika mkoani Tanga leo. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA |