MARCIANO FASHION DASH KUTIMUA VUMBI REGENCY PARK HOTEL 26, SPT 2015
Saleem
Siwila ni mmoja kati ya wadada wenye vipaji vya ku-design mitindo
mbalimbali ya mavazi hapa home Tz, ambaye ameona ni vyema kukuandalia
Show ili uweze ku-enjoy na wanamitindo kwa pamoja. Hivyo ukiwa kama
shabiki wa ukweli unaependa Fashion, basi hii ni habari njema kutoka kwa
mwanadada huyo maarufu kwa jina la Saleem Siwila coz anakuletea Fashion
Show inayoitwa ‘Marciano Fashion Dash’ itakayo fanyika ndani Regency
Park Hotel, chini ya usimamizi wa ‘Hasleem Fashion Design’ 26, September
2015.
Siku
hiyo kutakuwa na wanamitindo wengi watakao show love na kuusindikiza
usiku huo, kama Asya Idarous, Walter Di Marian, Kulwa Mkwandule, Benja
Perfect, Benny Masai kutoka Urban Masai Cllection nk. Unaweza kuingia ni
kwa mtonyo wa buku 15,000 tu! na 30,000 tu! kwa (VIP) unakosaje hii!
(jichange) tuka-enjoy pamoja.
Burudani
ya muziki itakuwepo kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka
hapa Tanzania maarufu kama Baby J, Gigy Money pamoja na Unit X. Mbali
na hiyo kutakutana live na Zamaradi Mketema kutoka Clouds, Dida wa Times
FM bila ya kusahau Team ya Chanel Ten na Lotus Kyamba & Deo kutoka
EATV ( Nirvana) kutakuwa na Red Carpet kali kwa ajili ya watu na pamba
zao
na Gsengo blog