Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Kinondoni leo jioni. |
Vyama
vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA leo hii vimezindua
kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu
walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha
mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na
NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum
Mtulia.