MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na NEC.