Tanzania ni nchi pekee zaidi duniani inayotajwa kwa mambo mengi mazuri na yenye kutia moyo. mataifa mengi duniani yamekuwa yakiwa katika migogoro mingi tabu nyingi sana hivyo Tanzania imekuwa kama nchi moja wapo duniani zilizopewa kipaumbele na Mwenyezi Mungu kwa mali nyingi yaani utajiri wa Madini, gasi na maziwa na bahari na hifadhi au mbuga za wanyama hivyo ni jambo pekee la kujivunia kama watanzania na tunapaswa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kila namna anayozidi kutuwezesha na kuzidi kutupatia maalifa zaidi.
Mabali na hapo Tanzania imekuwa na viongozi makini wasiopenda mabaya viongozi wanaolipenda Taifa lao kama wazalendo wakiwemo waasisi wa Taifa hili Hayati baba wa Taifa mwalimu julius kambarage nyerere na viongozi wengine na watawala kwenye kila kona ya nchi hii ya tanzania. kuna mambo mengi sana bado yamefichika ndani ya nchi hii lakini kwa uweza wa Mungu wetu mambo haya sas yanaanza kuonekana na matunda yake tunayaona na tunaanza kuyafurahia. tukikumbuka vizuri Taifa hili limeshawahi kuwa n wasisi mbalimbali katika vitengo tofauti na kulifanya taifa hili kuwa na msimamo thabiti mpaka hapa tulipofikia. moja ya mambo haya ni NEMBO YA TAIFA la Tanzania ni nembo pekee duniani yenye picha ya binadamu wa KWANZA ambao ni Adamu Na Eva ikiwa kama ni ishara ya kumpa Mungu Toleo kwa watu wake wa kwanza hivyo ni jambo jema zaidi tunalipoaswa kulishukuru kila siku tunapoamka na hii ndio sababu kubwa ya Taifa hili kushikiliwa n Mungu na kutuepusha na mambo mabaya zaidi maana hata nembo yetu tu inaonesha kila kitu ambacho mMwenyezi Mungu alikiweka duniani na sisi tukakiweka kama alama ya ukumbusho kwake pasipokujua kama tunafanya hivyo na ndiomaana mpaka sasa Hata mvumbuzi wa nembo hii ya Taifa bado Yu Hai ni kwasababu ya mapendo ya Mungu wetu Mkuu.
Kuna Mambo kadha wa kadha ambayo TaifA la Tanzania linapaswa kujivunia ikiwa ni pamoja na sifa ya kudumisha Amani na upendo, kuwapokea wageni na kuwapa hifadhi pindi wanapopata matatizo katika nchi zao kutokana na migogoro ya kisiasa na uchu wa madaraka pia Tanzania imekuwa mstari wa mbele kusaidia kusruhisha migogoro hiyo ya mataifa mengine Africa na Duniani kwani ndio Nguzo pekee tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Viongozi wetu makini wapo kwaajili ya kufanya Taaifa hili liendelee zaidi kwani moja ya misimamo iliyowekwa na waasisi wetu hapoa awali ilikuwa ni kuwaweka watanzania wote karibu na waongee lugha moja na sio kubaguana kwa dini au kwa makabila ni jambo baya sana kwa Taifa lolote linapoanza kubaguana katika misingi ya kidini au kikabila huleta migongano mwisho wake huwa ni vita na tabu nyingi maana kunakuwa hakuna wa kumsaidia mwenzake wala hakuna masikilizano hivyo jambo ku8bwa ni kuzidi kuliombea Taifa letu la Tanzania na Mungu atazidi kutubariki na tuwaombee viongozi wetu wote wazidi kutuongoza vizuri na kufikia hatua ambayo kila mmoja wetu anapswa kuifikia.

MUNGU IBARIKI TANZANIA