MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Jun 14, 2017

Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara

Diamond na Wema Sepetu
Mwanamuziki Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yeye na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Sepetu huwasiliana mara kwa mara na mara kadhaa hukutana kwa siri sehemu ambazo hazina waandishi wa habari au watu wengi.

Akizungumza leo katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Diamond Platnumz amemwagia sifa mrembo huyo na kusema kuwa amekuwa msaada mkubwa sana kwake hata wakati anaandaa manukato yake ya Chibu (Chibu Perfume).

“Mimi na Wema Sepetu huwa tunawasiliana kwenye simu, na mara kadhaa hukutana sehemu ambazo hazina watu wengi, kwa sasa tumekua. Kila mmoja wetu kwa sasa anajikita kwenye uhusiano wake. Wema Sepetu ana familia yake, lakini uhusiano wetu umejikita katika kusaidiana kibiashara.”

Diamond Platnumz aliongeza kuwa, Wema Sepetu ndiye aliyemshauri kutumia maneno “The Scent You Deserve” kwenye manukato yake aliyoyatambulisha hivi karibuni.

Diamond Platnumz na Wema Sepetu walikuwa ni ‘couple’ iliyowavutia wengi Afrika Mashariki lakini waliachana Novemba 2014 baada ya kuwepo tuhuma za kuchepuka kutoka kila upande.

Professor Mkumbo Achafua Hali ya Hewa Kwa Kuamua Kuwatolea Uvivu Wapinzani Kwa Kuwaambia....

Prof Kitilya Mkumbo
Katika hali isiyo ya kawaida ambayo sidhani kama pia itavumiliwa na Wapinzani wa nchi hii ( hasa CHADEMA ) Mwanasiasa, Mchambuzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Professor Kitila Mkumbo ameamua kuwatolea uvivu Wapinzani wa nchi hii hasa hasa wa CHADEMA baada ya kuandika katika Kurasa yake ya Tweeter kwamba nanukuu

" Wapinzani wa nchi hii wanaugua Ugonjwa mpya uitwao Opposition Defiant Disorder ( ODD ) ambao huathiri mfumo wao mzima wa Kufikiri / Kuwaza na kuwapelekea Wapinzani ( CHADEMA ) kila mara na kila siku wao kuwa ni wapingaji tu wa kila kitu hata kama kina manufaa kwa nchi hii / taifa hili na kwamba Wapinzani ( hasa CHADEMA ) wanastahili haraka sana kupata Tiba ya akili ili waweze kutambua kuwa kuwa Mpinzani haimaanishi kupinga tu kila kitu " mwisho wa kumnukuu.

Je mnadhani huyu Professor na Msomi aliyetukuka kabisa Kitila Mkumbo kwa kauli yake hii yupo sahihi na pengine labda wahusika Wapinzani ( hasa hasa CHADEMA ) wanatakiwa kubadilika haraka na wakapate kweli Tiba ya Ugonjwa wao unaowasumbua wa ODD au labda Yeye Professor Kitila Mkumbo ndiyo amekengeuka / amepotoka na yawezekana Yeye ndiyo amewehuka / kawa wa hovyo hovyo hivyo anahitaji kutangulia kwenda Milembe Hospital Mkoani Dodoma kupata tiba.

Mjumbe hauwawi!

Nawasilisha.

Mbowe Apata Pigo Lingine Kutoka Serikalini...

Freeman Mbowe
Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amezidi kukumbwa na matukio mbalimbali baada ya jana Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kung’oa mitambo ya umwagiliaji iliyopo katika shamba lake na kumtoza faini kwa kuendesha kilimo eneo lisiloruhusiwa.

NEMC imemtoza faini ya Tsh 18 milioni Freeman Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa kosa la kuendesha shughuli za kilimo ndani ya eneo la mita 60 kutoka kilipo chanzo cha maji.

Akizungumzi tukio hilo jana, Mbowe ambaye yupo Dodoma ambapo vikao vya bunge la bajeti vinaendelea alisema kuwa, zoezi zima limeendeshwa kisiasa na hii kuthibitisha kuwa nchi yetu inaongozwa kwa chuki na husda.

Britain, France Announce Joint Campaign Against Online Radicalization

French President Emmanuel Macron escorts Britain's Prime Minister Theresa May as they arrive to speak ...French President Emmanuel Macron escorts Britain's Prime Minister Theresa May as they arrive to speak to the press at the Elysee Palace in Paris, France, June 13, 2017.
British Prime Minister Theresa May and French President Emmanuel Macron are joining forces in order to crack down on tech companies, ensuring they step up their efforts to combat terrorism online.
Britain and France face similar challenges in fighting homegrown Islamist extremism and share similar scars from deadly attacks that rocked London, Manchester, Paris and Nice.
May traveled to Paris on Tuesday to hold talks on counterterrorism measures and Britain’s departure from the European Union.

She said major internet companies had failed to live up to prior commitments to do more to prevent extremists from finding a “safe space” online. Macron urged other European countries, especially Germany, to join the effort to fight Islamist extremist propaganda on the Web.
The campaign includes exploring the possibility of legal penalties against tech companies if they fail to take the necessary action to remove unacceptable content, May said.

KENYA Five presidential candidates given State security

President Kenyatta at a past function. Only five presidential candidates have been accorded security ahead ...President Kenyatta at a past function. Only five presidential candidates have been accorded security ahead of August 8th polls. PHOTO : FILEEmbakasi in Nairobi. [Photo/PSCU]
Are you aware that the General Election can be cancelled if a presidential candidate or running mate dies?
Article 138 of the Constitution states that a presidential poll shall be cancelled and a new election date set in the event a presidential candidate or their running mate dies before the slated election date.
“If one of them dies, God forbid, we shall not be having any election on 8th of August 2017.Suppose one intentionally commits suicide or attempts to commit suicide, are we likely to face a serious constitutional question,?” said political analyst Danston Omari.
Owing to this, the National Police Service has enhanced security for the 8 presidential candidates after they were cleared by IEBC to contest.
“They must not be allowed to put themselves at risk that will cost the country money, time, opportunities or even start a conflict” Police Spokesman Charles Owino explained.

The eight candidates gunning for the presidency in the August 8th General Election. INFOGRAPHIC: EVELYN WANGARI MURUGIThe eight candidates gunning for the presidency in the August 8th General Election. INFOGRAPHIC: EVELYN WANGARI MURUGI Despite the gravity of the matter, Citizen Digital has established only five presidential candidates have been accorded state security while three are yet to pick up their security detail despite being contacted by the police.
“A person supposed to be protected must explain where he lives, his or her lifestyle as well as how he socializes with friends and other people,” said security expert Richard Tuta.
Jubilee presidential candidate President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto, NASA’s Raila Odinga and his running mate Kalonzo Musyoka, UDP candidate Cyrus Jirongo and running mate Orina Momanyi and Independent Candidate Joe Nyagah and his running mate Moses Marango are among candidates who have already been accorded security.
READ MORE: Raila opposes ballot tender awarded to Dubai firm
The eight presidential running mates in the August 8th General Election. INFOGRAPHIC: EVELYNE WANGARI MURUGIThe eight presidential running mates in the August 8th General Election. INFOGRAPHIC: EVELYNE WANGARI MURUGI

Jun 12, 2017

JPM: Atakayepona ni Kigoda tu aliyefariki

Boncena Official video good smoke

Pesa zamfukuza Saida kwenye muziki


Mkongwe wa muziki wa asili wenye ladha ya bongo fleva, Saida Karoli amefunguka na kusema kwamba ukosefu wa pesa na mapromota waongo ndicho kitu pekee kilichomfanya apotee katika ramani ya muziki nchini.
Saida amefunguka hayo baada ya ujio wake mpya kwa kuachia  video inayokwenda kwa jina la 'Orugambo'  na kuongeza kwamba aliamua kurudi kijijini kwao baada ya kukosa muelekeo maalumu.
"Nisingeweza kufanya kitu chochote bila kuwa na pesa, mapromota waliniangusha sana kipindi kile kitu ambacho kilinifanya nipotee. Sasa hivi nimerudi nashukuru Mungu japo sijapata uongozi lakini kuna watu wameamua kujitolea ili kipaji changu kisipotee", Saida alifunguka
Kuhusiana na suala la kutengeneza muziki mzuri, Saida amesema muziki wake unaonekana kuwa mzuri  kwa sababu anatumia vitu vya asili katika kuutengeza .
"Muziki wangu mimi siandiki kabisa mashairi kwenye karatasi, huwa natunga mashairi wakati nikiwa studio napiga ngoma za asili. Huwa sipendi vionjo vya ngoma vinavyotengenezwa na kompyuta, na hiyo ndiyo sababu muziki wangu unakuwa na ladha ya tofauti"' Saida alizidi kufunguka.
Saida amewahi ametamba na nyimbo mbalimbali ikiwemo, Maria Salome, Kizunguzungu na nyinginezo nyingi.

Jipu la ACACIA latumbuka


Taarifa ya pili ya  wachumi na wanasheria iliyofanya uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga wa madini iliyoundwa na Rais Joseph Magufuli, imebaini kuwa kampuni ya ACACIA Mining Plc haina kibali na inafanya kazi kinyume cha sheria.
Prof. Osoro amesema kwamba  Kamati yake imebaini kuwa Acacia haina uhalali wa kufanya shughuli zake hapa nchini  na imetenda makosa yakiwemo kujipatia mali kwa udanganyifu, uhujumu uchumi, jinai na kuitia hasara taifa.
Aidha Kamati ya Prof. Osoro imebaini kwamba  Makinikia yaliyouzwa nje ya nchi hayakuwa makinikia hasa, bali yalikuwa ni madini mbalimbali huku ikiongeza kwamba  katika mikataba ya uuzwaji wa makinikia hayo, serikali haikuwa sehemu ya mikataba hiyo. 
Prof. Osoro ameongeza kwamba jumla ya mapato yote ambayo serikali imepoteza ni Tsh. trilion 68.6 sawa na bajeti ya miaka miwili ya nchi kodi ya mapato ambayo taifa imepoteza ni Tsh. tril 55.07, mrahaba tril 11, bandari tril 1.6. na kwamba jumla ya thamani ya madini kwenye makontena yote 44,277 tangu mwaka 1998 ni Tsh. tril 132.56.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wachumi na Wanasheria ,Pro. Nehemia Osoro.
Pamoja na hayo imebainika kuwa uongezwaji wa leseni kinyume cha sheria ambapo imedaiwa kuwa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini  William Ngeleja na Sospeter Muhongo ndio waliohusika na uongezaji wa muda kwenye uchimbaji wa madini.
Kamati hiyo imetoa mapendekezo mbalimbali ikiwepo kuchukua sheria juu ya kampuni ya ACACIA iliyopo nchini kinyume cha sheria kupitia msajili wa makampuni ikiwa ni pamoja na Mawaziri wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine juu ya mikataba ya uchimbaji madini huku ikiitaka Serikali iwe inafanya ukaguzi wa mara kwa mara kwenye makampuni ya madini.

Rais Magufuli awachimba mkwara wabunge

Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo amewachimba mkwara baadhi ya wabunge ambao huwa wanakazi ya kuropoka bungeni na kusema anawasubiri waropoke tena nje ya bunge ili adili nao vizuri kwani wamekuwa wakirudisha watu nyuma katika vita ya uchumi. 
Magufuli amesema hayo leo wakati akipokea ripoti ya pili iliyounda kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa madini kwenye makontena ya mchanga ambayo yanafahamika kama Makinikia, ambapo Rais ameahidi kuwa sheria zote za madini zinapaswa kupitiwa tena na kurekebishwa na bunge ili ziweze kuleta tija kwa Watanzania.
"Mhe. Spika Job Ndugai nitakuletea mizigo hii bungeni, lakini kwa wale wanaoropoka bungeni naona unaenda vizuri nenda na mwendo huo huo, maana wakiwa kule wanaweza kutukana wanalindwa na kinga ya bunge, ila ukiwatimua mwezi mzima wataropoka nje ya bunge, mimi nitadili nao vizuri. Siwatishi bali nawaambia ukweli huwezi kuwa unamrudisha watu nyuma kwenye vita hii, kama huna la kusema ni bora ukae kimya" alisema Rais Magufuli 
Mbali na hilo Rais Magufuli alikubaliana na mapendekezo yote 20 ambayo yameletwa na Kamati hiyo maalum chini Mwenyekiti Prof. Nehemiah Eliachim Osoro ikiwa ni pamoja na baadhi ya Mawaziri pamoja na viongozi wote waliohusika katika kusaini mikataba hiyo kutafutwa popote walipo na kuhojiwa na vyombo vya dola.
"Wahusika wote waliotajwa kwenye ripoti hii vyombo vya dola viwahoji na kujua ukweli juu ya jambo hili, hata kama wapo serikalini au wapo wanafanya biashara zao wahijiwe tu, maana wengine wamekuwa wafanyabiashara wakubwa kumbe wanatumia pesa zetu Watanzania ili kama hizo pesa zetu tuzichukue tu" alisisitiza Magufuli 
Rais Magufuli alikwenda mbali zaidi na kusema Tanzania kuna watu wanakosa madawa katika hospitali, huku akisema watu wengine wanakosa pembejeo mashambani kwa kuwa nchi ni masikini ili hali nchi ina utajiri mkubwa, ambao umekuwa ukitumika vibaya kutokana na tamaa za viongozi ambao siyo wazalendo, viongozi ambao hawajali maslahi ya Watanzania zaidi ya kuangalia maisha yao tu.
Katika hatua nyingine Spika wa Bunge Job Ndugai amekiri kuwa wao kama Bunge wapo tayari kupitia sheria zote zitakazokuja bungeni kwa umakini zaidi ili kuweza kurekebisha mikataba hiyo mibovu iliyoliingizia taifa hasara kubwa.

Ubuyu wa Moto Moto..Idris Sultan Afilisika Milioni 500 Alizoshinda Big Brother..Ashindwa Kulipia Kodi ya Ghorofa Alilokuwa Anaishi..!!!

Wapenda ubuyu wanakuambia hakuna kinachodumu milele duniani! Ndiyo maneno unayoweza kusema kutokana na maisha ya Mshindi wa Big Brother Africa (BBA) mwaka 2014, Idris Sultan ambayo anaishi kwa sasa.
Kwa mujibu wa watoa ubuyu, mai­sha ya jamaa huyo ni tofauti kabisa na matarajio ya wengi kutokana na mshiko aliovuta BBA wa zaidi shilingi milioni 500 za Kibongo.
NDIYO CHOKA MBAYA?
Inasemekana kuwa, ishu hiyo ndiyo ilizua maswali kwa watu wake wa karibu wakihoji ndiyo jamaa amekuwa choka mbaya? Vyanzo makini vilil­iambia Wikienda kuwa, kwa sasa Idris anaonekana amechoka mbaya kwani anadaiwa kuhama kwenye jumba la ghorofa alilokuwa akiishi Mbezi-Beach jijini Dar na kuhamia kwenye chumba kimoja maeneo ya Mbezi-Chini, Dar.
“Kiukweli maisha anayoishi Idris yanashangaza sana na inaonekana ameshamaliza zile shilingi milioni mia tano alizoshinda BBA.“

Tukio Hili Linaweza Kuwa Ushahidi Kwamba Tukifa Tunarudi Duniani kwa Miili Mingine...!!!?

Mtoto mmoja wa kiume huko India aliwahi kuwaacha hoi wazazi wake baada ya kuanza kudai aliwahi kuishi kabla ya kizaliwa
Mtoto huyo wa kiume, Taranjijt Singh anasema aliwahi kuishi miaka michache nyuma, ambapo alifariki kwa ajali ya pikipiki akiwa bado mdogo.
Mtoto huyo akiwa na umri wa miaka miwili alianza kusema kuhusu maisha yake ya nyuma na alikuwa akitoroka sana nyumbani . Alikuwa akiwaambia wazazi wake kwamba anakumbuka kijiji alichokuwa akiishi na hata jina la shule aliyokuwa akisoma.
Alikumbuka pia jina la baba yake wa zamani {kabla hajafa}. Awali ilionekana kama aina fulani ya kisirani cha mtoto, lakini ilibidi wazazi wake waanze kuwa na wasiwasi kwa kadiri alivyokuwa akiongezeka kiumri.

Rais JPM Ataka Vyombo vya Dola Viwahoji Viongozi Waliohusika Kwenye Mikataba ya Mchanga

Magufuli
Rais John Magufuli avitaka vyombo vya Dola viwahoji watendaji wa serikali walioshiriki kwenye mikataba ya madini tuliyoinga tangu mwaka 1994.

Rais Magufuli amesema kuwa watendaji hao walikosa uzalendo kwa kuweka mbele maslahi yao binafsi.

Nina Uhakika Baba wa Taifa huku alipo Machozi yanamtoka- JPM

Rais Magufuli
 
"Tumechezewa vya kutosha sasa tunasema hapana

"Ni lazima tuchukue maamuzi magumu, bila kujali yanamuhusu nani" JPM

"Hata tulipokuwa tukiwapeleka mahakamani tukishinda, Wana Appeal"- JPM

" Baba wa taifa Mwl Nyerere alisubiri kwanza akasema mpaka tutakapokuwa tayari, Nina uhakika hata huko aliko Machozi yatakuwa yanamtoka"

"Kwa wele watakaokuwa wanaropoka Bungeni tutadili nao Vizuri, Sasa spika nenda ka deal nao vizuri, Na wakisema nje ninatawashughulikia"
"Saa nyingine unakaa unajiuliza kwanini Mungu ulinipa nafasi hii? Why me?"

Jun 10, 2017

Walimu 261 Arusha Wabainika Kuwa na Vyeti Feki..

Mrisho Gambo
Mrisho Gambo
WAKATI mkoa wa Arusha ukiwa na upungufu wa walimu 788 sawa na asilimia 58.85 ya mahitaji ya walimu mkoani hapa, imebainika kuwa, walimu 261 wamebainika kuwa na vyeti feki.
Mkoa wa Arusha wenye shule za sekondari za serikali 162, una upungufu wa walimu 197 wa Fizikia, 243 wa Kemia, 85 wa Bayolojia na 263 wa hisabati. Kwa mujibu wa Ofisa Elimu-Taaluma wa mkoa wa Arusha, Eugene Shirima kazi ya kubaini walimu wenye vyeti feki mkoani humo imethibitisha kuwepo na walimu 261 vyenye vyeti feki hadi sasa wakiwemo walimu wa masomo ya sayansi na baadhi yao wamelazimika kujiondoa kazini.
Hata hivyo, Shirima amefafanua baadhi ya walimu wamelazimika kukata rufaa Baraza la Mitihani la Taifa na Idara ya Utumishi kupinga hatua ya kuwaondoa kazini. Amesema mbali na walimu hao kubainika kuwa na vyeti feki baadhi ya walimu wamelazimika kujiondoa wenyewe bila hata kutoa taarifa kwa mwajiri wao katika halmashauri za wilaya ama kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha.
Source:Habari Leo

Dully Sykes - Waganga Watamaliza Pesa Zangu..!!!

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes amefunguka na kusema kwamba wasanii au watu wanaokwenda kwa waganga wa kienyeji ili kufanikiwa wanaongozwa tu na tamaa na kutoridhika na kile wanakichopata
Dully amefunguka hayo alipokuwa kwenye  Planet Bongo ya East Africa radio ikiwa ni siku chache baada ya Meneja Maneno kufunguka na kudai wasanii wengi wanaaminmi ushirikina na kusema kwamba yeye hawezi kufanya hivyo kwani anaridhika na maisha yake kwa kila akipatacho.
“Mimi maisha yangu naridhika nayo japo si makubwa kiivyo, naridhika na kagari ambacho naendesha, naridhika na mahali ninapolaza ubavu wangu, naridhika na chakula ninachopata, 
ninaridhika na kipato ninachopata japo ni kidogo ila nagawana na wenzangu, watoto na familia,” amesema Dully Sykes.
Dully ameongeza kuwa “Sifikirii kama kuna mganga ambaye anaweza kufanya mimi nikapata hela zaidi ya hapa, sana sana watanimaliza hela zangu,” ameongeza.

Jun 9, 2017

Bajeti ya Waziri Mpango Yaibua Shangwe Nchi Nzima..!!!

Serikali  ya Jamuri ya Muungano wa Tanzania imewasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2017/18, huku ikiwa imetangaza kufuta na kupunguza tozo, ushuru na kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye sekta mbalimbali hapa nchini.
Bajeti hiyo imewasilishwa leo Juni 08, na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ambapo amependekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye bidhaa za mtaji ili kupunguza gharama za mashine na mitambo kwa ajili uanzishwaji wa viwanda vidogo na vya kati, 
kwenye bidhaa zinazosafirishwa nje ya nchi kuifanya Tanzania iwe njia bora ya kupitisha bidhaa na kuongeza mapato kupitia bandari pamoja na kwenye vyakula vya mifugo vinavyotengenezwa nchini.
 Waziri Mpango pamoja na kupunguza kodi za kampuni kutoka asilimia 30 hadi 10 kwa miaka mitatu ya uzalishaji, pia amefuta rasmi  ada ya mwaka ya leseni ya magari huku akisema kwamba uamuzi huo umechukuliwa ili ada hii ilipwe mara moja pale gari linaposajiliwa na baada ya hapo iendelee kulipwa katika ushuru wa bidhaa kama  mafuta ya petroli na dizeli. 

SAIDA KARORI -- ORUGAMBO (DOWNLOAD NEW AUDIO)



Sikiliza Wimbo Mpya wa Saida Karoli Aliyochanganya Wimbo wa Diamond na Darassa

saida karoli na Diamonda PlatnumzBaada ya kurudi kwenye tasnia ya muziki kupitia wasanii waliotumia vionjo vya nyimbo zake na hivyo kupelekea watu kumkumbuka tena nguli huyu, na yeye ameamua kuingia studio kukumbushia makali yake ya kipindi cha nyuma Saida Karoli ambaye amekuwa akiimba nyimbo za asili alitamba sana miaka ya mwanzoni mwa 2000 ambapo waimbo wake ambao ni maarufu zaidi ni Chambua ambao siku za hivi karibuni wasanii kama Darassa, Belle 9, Diamond Platnumz walitumia vionjo vya wimbo huo na kutengeneza nyimbo zao zilizofanya vizuri sana.

Said Karoli ametoa wimbo wake mpya ambao na yeye ametia vionjo vya wasanii hao waliotumia wimbo wake. Wimbo huo una jina asili ambalo kwa kiswahili linamaanisha Maneno Maneno. Usikilize wimbo huo hapa chini;

Rasmi..Baada ya Kupona Roma Mkatoliki Aaanika Haya Mengine Mapya Kuhusu Yeye na Tukio la Kutekwa Kwake..!!!

RAPA kipenzi cha Watanzania, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka kuwa afya yake imeimarika na sasa yupo tayari kupanda jukwaani kukamua shoo kama kawaia yake.
ROMA ameyasema hayo jana wakati akitoa neno la shukrani kwa uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Glopbal Publishers kwa kuendelea kumsapoti, kufanya naye kazi, kuboresha mahusiano yaliyo mema na kumfariji hasa katika kipindi kigumu alipopatwa matatizo ya kutekwa akiwa na wenzake watatu.
“Nimfika hapa kwa ajili ya kutoa neno la shukrani kwa jinsi ambavyo tmekuwa tukifanya kazi pamoja, pamoja na matatizo yaliyotukuta mimi na wenzangu lakini nyinyi Global Publishers mmeendelea kuwa na mimi katika kipindi chote hicho.
“Mtu akiona nimeweza kutembea kutoka nyumbani mpaka kufika hapa ofisini (Global PUblishers), basi ajue nipo fiti, na ninaendelea vizuri. kama nimeweza kushika maiki, nikazungumza basi hata Dar Live naweza kushika maiki (akimaanisha kufanya shoo).
“Niliona kipindi cha matatizo mlitupigania, magazeti ya Global Publishers yalifanya coverage nzuri na mlikuwa upande wetu. Kiukweli tulifarijika kuona watu wengi wakitutia moyo na kutupatia neno la faraja,” alisema Roma.

Nisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa

Salma Jabu aka Nisha

WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, msanii wa filamu, Salma Jabu ‘Nisha’ ametoa kali ya mwaka kufuatia kukiri kuwa na uhusiano na mbwa.

Nisha alifanya hivyo juzikati baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwa amevaa gauni jeupe la harusi huku mkononi akiwa ameshika mkanda wa mbwa na kuandika kuwa, mnyama huyo ndiye mpenzi wake, jambo ambalo liliwachefua baadhi ya marafiki zake.

Dada acha kukufuru halafu huu ni Mwezi Mtukufu, Kiislam mbwa ni najisi halafu wewe ni Muislam unashika mbwa na kusema ndiyo mpenzi wako, tangu lini mbwa akawa na uhusiano na binadamu?” aliandika mmoja wa mashabiki aliyeonekana kukerwa na kitendo hicho. Jitihada za kumtafuta Nisha kuzungumzia kitendo alichokifanya hazikuzaa matunda baada ya simu yake kutopokelewa na hata alipotumiwa SMS hakujibu.

Baada ya Kutemana na Harmonize..Wolper Apata Ugonjwa wa Wanaume..!!!

STAA wa filamu Bongo Jacqueline Wolper amesema kuwa, japo wanaume wengi wenye nazo wamekuwa wakimsumbua kumtaka kimapenzi, haoni haja ya kuwa nao kwa kuwa anaamini ni wasumbufu tu hawana mapenzi ya kweli.
Akizungumza mawili-matatu na Star Mix, Wolper alisema, kutokana na upendo wa kweli anaojitahidi kumuonyesha mwanaume anapokuwanaye kwenye uhusiano na kujikuta akiambulia maumivu, ameona bora aweke kando masuala ya mapenzi na kuwa`bize’ na kazi zake. “Sina mpenzi kwa sasa nimeona bora niweke pembeni haya mambo nidili na kazi zangu tu ndo muhimu, nikipenda hawa wanaonisumbua `now’ nitapenda na nitakuwa kimapenzi, lakini bado wote wanaonisumbua hakuna aliyefaulu kunishawishi niwe naye,” alisema Wolper

Jun 8, 2017

Islamist militants strike Iranian parliament, blames Saudis

Iran under attack
Suicide bombers and gunmen attacked the Iranian parliament and Ayatollah Khomeini’s mausoleum in Tehran on Wednesday, killing at least 13 people in an unprecedented assault that Iran’s Revolutionary Guards blamed on regional rival Saudi Arabia.
Islamic State claimed responsibility and threatened more attacks against Iran’s majority Shi’ite population, seen by the hardline Sunni militants as heretics.
Iranian Foreign Minister Javad Zarif tweeted: “Terror-sponsoring despots threaten to bring the fight to our homeland. Proxies attack what their masters despise most: the seat of democracy.”
He did not explicitly blame any country but the tweet appeared to refer to comments made by Saudi Arabia’s deputy crown prince, Mohammed bin Salman al-Saud, in May, saying that that Riyadh would bring “the battle” for regional influence to Iran.

Anna Mgwira: Mtu Asijenifuata Ofisini Kuniambia Masuala ya ACT..!!!

Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho

Ukweli Mchungu..Rufaa ya Kambi Rasmi ya Upinzani Dhidi ya Adhabu ya Mdee na Bulaya ni Hopeless na ni Kupoteza Muda Tu..!!!

Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.
Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Jun 5, 2017

GWAJIMA AWA KERO KWA MAKONDA NA SERIKALI


Russia’s Putin denies having compromising information on Trump

Russian President Vladimir Putin meets with representatives of foreign companies and business associations at the ...Russian President Vladimir Putin meets with representatives of foreign companies and business associations at the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF), Russia, June 2, 2017. REUTERS/Sergei Savostyanov/TASS/Host Photo Agency/Pool
Russian President Vladimir Putin strongly denied he had any compromising material about U.S. President Donald Trump in a sometimes combative televised interview broadcast on Sunday.
“Well, this is just another load of nonsense,” Putin said on NBC News’ “Sunday Night with Megyn Kelly,” when asked whether he had any damaging information on the Republican president.

The remarks were the latest in a series of denials from Moscow that have had little impact so far on a political crisis in the United States over potential links between Russia and Trump’s inner circle.
The issue will be front and center this week in Washington, where former FBI Director James Comey is due to testify on whether Trump tried to get him to back off an investigation into alleged ties between Trump’s election campaign and Moscow.

Saudi Arabia, Egypt, UAE cut diplomatic ties with Qatar over ‘terrorism’

FILE PHOTO - Saudi King Salman bin Abdulaziz (C) walks with the Emir of Qatar ...FILE PHOTO - Saudi King Salman bin Abdulaziz (C) walks with the Emir of Qatar Tamim bin Hamad al-Thani during a welcoming ceremony upon Hamad al-Thani's arrival to attend the Summit of South American-Arab Countries, in Riyadh November 10, 2015. REUTERS/Faisal Al Nasser/File Photo
Saudi Arabia, Egypt, the United Arab Emirates and Bahrain severed their ties with Qatar on Monday, accusing it of supporting terrorism, opening up the worst rift in years among some of the most powerful states in the Arab world.
The coordinated move dramatically escalates a dispute over Qatar’s support of the Muslim Brotherhood, the world’s oldest Islamist movement, and adds accusations that Doha even backs the agenda of regional arch-rival Iran.

Jun 3, 2017

Wasambazaji wa dawa za kulevya wabadili gia


HUENDA wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya sasa wamebuni mbinu mpya ya kuingiza dawa hizo nchini, kutokana na udhibiti mkali uliowekwa na Serikali.

Badala ya kuingiza kete ambazo zimetengenezwa tayari kwa ajili ya matumizi, wanaingiza kemikali ambazo zina uwezo wa kutengeneza dawa hizo hapa hapa nchini.

Hayo yalielezwa jana na Kamishna Msaidizi Ukaguzi wa Sayansi ya Jinai, Betha Mamuya, alipozungumza na waandishi wa habari katika Bandari kavu ya AMI, iliyopo Tabata Relini.

Katika bandari hiyo jana, maofisa wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) walifanya ukaguzi na kubaini makontena mawili yenye zaidi ya lita 5,000 za kemikali bashirifu zinazodaiwa kuingizwa nchini kinyume cha sheria.

Zimbabwe’s Mugabe tells allies to stop fighting over his successor

Zimbabwe's Mugabe tells allies to stop fighting over his successor
Zimbabwean President Robert Mugabe called on Friday for unity in his ruling ZANU-PF party, which has been riven by infighting over who will eventually succeed the world’s oldest leader.
Mugabe, 93, has ruled the southern African nation since independence from Britain in 1980 and wants to seek another five-year term next year, his last under the constitution, despite concerns over his health.
The veteran leader, who looks increasingly frail, has made two trips this year to Singapore for medical checks, which his spokesman said were related to his eyes. Private media have reported that Mugabe has prostate cancer, which officials deny.

Botched anti-measles campaign kills 15 children in South Sudan

Botched anti-measles campaign kills 15 children in South Sudan
At least 15 children died in South Sudan in early May after health workers vaccinating them against measles used the same syringe without sterilizing it, the health minister said on Friday.
About 300 children were vaccinated on May 2-5 in Nacholdokopele village in Eastern Equatoria state, another 32 of whom have recovered after falling ill with symptoms including fever, vomiting and diarrhea, Health Minister Riek Gai Kok said.
“The team that vaccinated the children in this tragic event were neither qualified nor trained for the immunization campaign,” Kok told a news conference.

Jun 2, 2017

PETTY BARAKA KAZI YA MOYO Official Music Video Full HD

Ethiopia cuts off internet after high school exam leaks

Ethiopia cuts off internet after high school exam leaks
Ethiopia has cut off internet access nationwide until at least June 8 to try to stop cheats from posting high school exam papers on social media, a government official said on Thursday.
Hundreds of thousands of students will take the tests throughout the Horn of Africa country with Grade 10 exams taking place from May 31 until June 2, and Grade 12 tests from June 5 until June 8.
Last year, exam papers were widely posted online, prompting the government to reschedule the tests, which are the main public exams for 16- and 18-year-olds to secure places at university and on vocational courses.
“The shutdown is aimed at preventing a repeat of leaks that occurred last year,” Mohammed Seid, public relations director of Ethiopia’s Office for Government Communications Affairs, told Reuters.
“We are being proactive. We want our students to concentrate and be free of the psychological pressure and distractions that this brings.”

Wabunge wa Upinzani Wasusia Bunge na Kutoka Nje...Kisa John Mnyika

Mbunge John Mnyika atolewa nje ya Bunge kwa amri ya Spika Job Ndugai na kuamriwa kutohudhuria vikao kwa siku 7 baada ya kutokea malumbano leo.

Kufuatilia tukio hilo Wabunge wa Upinzani wametoka nje baada ya Mbunge huyo kutolewa nje na Askari wa Bunge kwa amri ya Spika.

Vilevile, Mamlaka ya Bunge kupitia Kamati ya Maadili kumjadili Mbunge Esther Bulaya kwa kuhamasisha wabunge kutoka nje ukumbi wa Bunge

Hii Ndio Sababu Kubwa ya Paka Kutumika Kichawi Zaidi ya Mbwa..!!!


KWANINI PAKA HUTUMIKA
katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe kinachotumiwa sana na wachawi na washirikina hii ni kwasababu Paka ana kichwa chepesi, anaelewa haraka na kukariri, paka anaweza tumwa chochote nyumbani kwako, paka anaweza kuja kukuchunguza maisha yako kichawi, mtakubaliana na mimi inaweza ukawa umejifungia ndani au umeleta kitu kwa siri ndani kwako ila utashangaa kibibi kichawi kinakwambia naona umenunua kitu fulani mjukuu wangu. sasa ndo ujiulize kimejuaje wakati kinakaa mtaa wa pili na wewe umeleta kwa siri? paka anao uwezo wa kukamata vitu kwa haraka,wengine watumwao ni ndege njiwa na bundi maana hawaoni uchawi.
MBWA JE YUKOJE?
kwa mbwa ni kinyume kidogo, mbwa anaona wachawi, anauwezo mkubwa sana wakuona uchawi, anakichwa kizito, hawezi tumwa na wachawi maana ataharibu kabisa kwakuwa anaona wachawi wengine, mbwa hafai, wengine hadi humwita mbwa ni najisi, hili ni kwasababu mbwa havumilii kuona majini au wachawi wanakatiza lazima atabweka! mbwa ameonekana kufaa katika ulinzi kwasababu anaona usiku wezi na wachawi. ukiona mbwa anabweka sana usiku nyumbani kwako usipuuzie chunguza lazima utakuta kuna tatizo.wengine wenye uwezo wa kuona ni KUKU na BATA ...hao wanaouwezo wa kumwona mchawi...hakikisha unawatumia wanyama wako kukurinda kwa kusikiliza milio yao.

May 31, 2017

The Rise of Fake News

The Rise of Fake News
The past year has seen a rise in fake news sites – sensationalized, fact-free zones fueled sometimes by politics, sometimes for financial gain. The phrase “fake news” has since been adopted by President Trump to describe traditional media, in particular those he says have been unfair to him, and it seems to be playing out even in the small town of Mount Carroll, Illinois.

TRANSCRIPT:

I’m a publisher, owner, editor of a small-town weekly newspaper – real small town. One of the towns, Mount Carroll, has around 1600 people.
Our bread and butter is the local coverage. I would say that people I interact with – you know, it’s many, many people in this community and in this county – they have a general attitude of not believing anything. So, because they’re not believing what’s coming out on social media, they’re also not believing what the national broadcasting companies are doing and all the national networks and the mainstream papers, like the New York Times or the Washington Post or the Chicago Tribune. It makes them skeptical of them, too.

Leaders condemn killing of camels in Tana River

Camels drink from a Drought in drought-hit Turkana County. Photo/FILECamels drink from a Drought in drought-hit Turkana County. Photo/FILE
The killing of more than 100 camels in Kalabha and Basin Hargeisa in Tana River County over the weekend by suspected security offices continues to draw condemnation by local leaders who are now demanding compensation or they will head to court.
Speaking in Garissa County, the leaders led by the chairman of the Kenya Livestock Marketing Council Dubat Amey described the killings as “heinous, barbaric and unacceptable.”
Mr Amey said that all the evidence points at the involvement of the security forces in the killing of the camels.

Marehemu mzee Ngosha amuachia 'kitu' Mpoto

Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amesikitishwa na kifo cha Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa na kusema anatamani siku zirudi nyuma ili aweze kuongea naye tena. Mpoto amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kudai Mzee huyo alishawahi kumsaidia kumpa wazo la kufanya video ya wimbo wake wa 'Njoo ichukue'.
"Hii ni taarifa ya kunisikitisha sana kwenye maisha yangu ya muziki, nakumbuka kabla ya kutoa wimbo wa 'Sizonje' nyuma yake nilitoa 'Njoo nichukue' huyu Mzee alikuja ofisini kwangu kuniambia maneno mazito sana kwamba anapenda kazi yangu na alinitabiria mambo mengi mazuri kwenye safari yangu ya maisha nanukuu YACHUKULIE MANENO HAYA NI YA CHIZI KAONGEA" aliandika Mpoto.
Aidha Mpoto aliendelea kusema kuwa "Ombi lake lilikuwa moja tu alitamani kufanya kazi na mimi, ofisi nzima ikamchukulia kama mzee aliyechanganyikiwa wakataka kumfukuza, mlinzi wetu wa ofisi akasema msimpuuze mpeni nafasi, tulipompa nafasi ndiyo akatoa wazo la video ya wimbo wa 'Njoo uichukue' iweje, na akasema yule mzee Mshuba kikongwe muuza bangi ataigiza yeye mwenyewe tulicheka Sana maana wazo lake lilikua zuri na liliungwa mkono na 'Director' Adamu Juma"
Pamoja na hayo Mpoto amesema baada ya kupata taarifa ya kifo ndipo alipokuja kugundua kuwa Mzee Francis anamfahamu vizuri.
"Baada ya kuangalia kwa makini kumbe ndiyo yule mzee aliyefariki leo mchora Nembo ya Taifa, natamani siku zirudi nyuma niongee naye tena, roho imeniuma sana kwa kweli sijui hata nifanye, nini kibaya zaidi baada ya 'shooting' alitutoroka hata hatukujua tutampataje".alisisitiza     Mpoto

Urais wa Kenya 'kupiganiwa' na watu 8

Rais Uhuru Kenyatta (kushoto)
Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, IEBC, imeidhinisha majina ya wagombea nane kuwania Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka huu
Kati ya wagombea hao, ushindani mkubwa unatarajiwa kuwa kati ya Rais Uhuru Kenyatta anayewania muhula wa pili na mgombea wa muungano wa vyama vya upinzani NASA Raila Odinga.
Hata hivyo, zoezi la mchujo liliwaacha wengine zaidi ya 10 nje ya kinya'nga'nyiro hicho akiwemo Peter Solomon Gichira aliyefikishwa Mahakamani kwa madai ya kutaka kujiua baada ya kuondolewa katika orodha hiyo kwa kutokidhi vigezo.
Ushindani unaotarajiwa kati ya Rais Kenyatta na Bw. Odinga, unarejesha nchi hiyo katika historia ya siasa kati ya baba zao, Jomo Kenyatta aliyekuwa Rais wa kwanza na Jaramogi Oginga Odinga aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya Uhuru mwaka 1963.
Wagombea wengine sita ambao wanawania Urais ni pamoja na Cyrus Jirongo (UDP), Ekuru Aukot kutoka chama cha Thirdway Alliance, Abduba Dida (ARC).
Wagombea binafsi ni pamoja na Joseph Nyagah, Michael Wainaina na Japheth Kavinga, ambao wamejinadi kama chaguo sahihi la kuleta mabadiliko.

May 30, 2017

Raila closes in on Uhuru in new poll

Raila closes in on Uhuru in new poll
NASA presidential candidate Raila Odinga has closed in on President Uhuru Kenyatta by 12 per cent, a new Ipsos Synovate opinion poll released on Tuesday has revealed.
If the General Elections were held today, 47 per cent of Kenyans would vote for President Kenyatta and William Ruto while 42 per cent would elect opposition chief Raila Odinga and his running mate Kalonzo Musyoka.
The new popularity ratings means the elections would head to a presidential run-off since none of the two front runners in the 2017 presidential race would garner the constitutional 50 per cent + 1 vote needed to clinch the presidency.

North Korea Test-fires Another Ballistic Missile

FILE - An image made from video of a news bulletin aired by North Korea's ... - An image made from video of a news bulletin aired by North Korea's KRT on May 22, 2017, shows what was said to be the test-launch of a Pukguksong-2 missile at an undisclosed location in North Korea.
North Korea test-fired another short-range ballistic missile early Monday, just days after the G-7 demanded that Pyongyang give up its nuclear ambitions.
The U.S. Pacific Command says the launch came near the town of Wonsan on North Korea’s east coast. The command tracked the missile for six minutes before it fell into the Sea of Japan, in what is known as Japan’s exclusive economic zone.
The command says the missile posed no threat to North America. But an angry Japanese Prime Minister Shinzo Abe vowed to respond.

Congo Approves Use of Ebola Vaccination to Fight Outbreak

Ebola vaccination A health worker injects a woman with an Ebola vaccine during a trial in Monrovia, Feb. 2, 2015.
Democratic Republic of Congo’s Health Ministry has approved the use of a new Ebola vaccine to counter an outbreak of the hemorrhagic fever in its northeast that has killed four people, a spokesman said on Monday.
“The non-objection was given. Now there’s a Medecins Sans Frontieres team that is arriving [in Congo] today to validate the protocol with the technical teams,” Jonathan Simba, a Health Ministry spokesman, said by telephone.
The vaccine, known as rVSV-ZEBOV and developed by Merck, is not yet licensed but was shown to be highly protective against Ebola in clinical trials published last December.

Zhao Chuang: Meet the man who brings dinosaurs to life

Dinosaur workshopZhao Chuang's studio in Beijing
If you came to this Beijing warehouse at night it would be downright creepy.
More than 20 towering dinosaurs stand in the yard, teeth sharp and claws unfurled; inside are 40 more life-sized models — steel frames propping up carcasses made of fiberglass and clay.
Chinese illustrator Zhao Chuang, who employs 30 people at his sprawling studio in China’s capital, is the go-to artist for paleontologists, museums and publishers across the world who want to bring dinosaurs to life. By day, his workplace feels a lot like the set of a “Jurassic Park” movie.
He occupies a rare place between art and science — using information scientists have gleaned from fossils and his own imagination to draw, illustrate and model the prehistoric creatures.
His work has gained prominence just as China, and the fascinating dinosaurs discovered in its rich fossil fields, have come to dominate the field of paleontology.

Uchumi umeyumba sana - Mzee Yusuf

Mzee Yusuf
 Aliyekuwa mmiliki wa band ya Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf amefunguka na kusema toka ameamua kuachana na biashara ya muziki na kumrudia Mungu maisha yake yameyumba sana lakini amekuwa na amani, furaha na maisha hayo kuliko kipindi cha nyuma.
Mzee Yusuf amesema wakati anafanyakazi ya muziki alikuwa na maisha bora sana na kufanya vitu ambavyo anataka kufanya bila wasiwasi wowote tofauti na sasa ambapo akihitaji kitu fulani lazima ajipange kweli kweli ili kukipata.
"Maisha niliyonayo sasa ni maisha ambayo yana amani kuliko maisha niliyokuwa nayo huko nyuma, haya ni maisha ya utulivu kwa hilo nashukuru Mungu, lakini si yale maisha bora kama niliyokuwa nayo kipindi kile naweza kutaka pilau leo, biliani kesho napika lakini leo hii nikitaka biliani lazima nijipange, kwa hiyo uchumi kwangu umeyumba sana lakini nashukuru sina wasiwasi, yaani sina pressure katika maisha yangu" - alisisitiza Mzee Yusuf.

Tanzia: Mzee Ngosha afariki




Mzee Francis Kanyasu (86) aliyechora Nembo ya Taifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa pamoja East Africa Tv inatoa pole kwa Familia ya Mzee Kanyasu pamoja na watanzania wote kwa ujumla.

May 27, 2017

Ten presidential aspirants locked out of August 8 elections

IEBC
Ten presidential hopefuls have been knocked off of the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) list of candidates who will be on the ballot on August 8 when Kenyans install new leaders.
According to an IEBC list seen by Citizen Digital, the ten candidates including Nazlim Umar, Peter Solomon Gichira, Michael Orenge, Pete Osotsi Odeng, Muthiora Kariara, Japhet Kavinga, Stephen Owoko Oganga, David Munga and Erastus Nyamera were knocked off the list on technicalities after most of them failed to reach the minimum threshold requirements to contest for the presidency.
On Thursday, May 26, Ms Nazlin Umar admitted that she did not have a university degree which is a requirement to run for the presidency or gubernatorial position.
President Uhuru Kenyatta of Jubilee Party will now face seven other candidates, all who want to dislodge him from the house on the hill.

Senate intelligence panel seeks Trump campaign documents

Senate intelligence panel seeks Trump campaign documents
The Senate Intelligence Committee, investigating Russian meddling in U.S. 2016 election, has asked President Donald Trump’s political organization to hand over all documents going back the campaign’s launch in June 2015, the Washington Post reported on Friday, citing two people briefed on the request.
The letter from the Senate panel seeking all documents, emails and telephone records arrived at Trump’s campaign committee last week and was addressed to its treasurer, the Post said.
This marked the first time the Trump campaign organization has been drawn into the bipartisan committee’s investigation into Russian interference in the presidential election, it said.
Dozens of former campaign staffers are expected to be contacted soon to ensure they are aware of the request, the Post said, citing the two people.

Syrian civilians caught between counter-IS airstrikes and Islamic State abuse

28 killed in suicide bombing
The U.N.’s top human rights official said civilians are paying a heavy price as airstrikes in Syria escalate, particularly in Islamic State-controlled areas. High Commissioner Zeid Ra’ad al-Hussein called on the air forces operating in the country to do more to minimize civilian casualties.
The situation for Syrian civilians is difficult throughout the country, but it is particularly so in areas held by Islamic State in the northeastern governorates of al-Raqqa and Deir-ez-Zor.
Battered from both sides
The high commissioner’s spokesman, Rupert Colville, said civilians in those areas are being battered by escalating airstrikes from Syrian, Russian and U.S. coalition forces. At the same time, he says the same civilians are suffering indiscriminate shelling and summary executions by IS militants, whom he referred to by the acronym ISIL.